HUU NDYO UZI MPYA WA ENGLAND, UTATUMIKA EURO 2016 UFARANSA BAADHI YA WACHEZAJI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAUME NA WANAWAKE ZA ENGLAND WAKIONYESHA JEZI MPYA ZA TIMU HIYO. JEZI HIZO MPYA ZITAANZA KUTUMIKA ZAIDI KATIKA MICHUANO YA EURO 2016 NCHINI UFARANSA, ENGLAND ITAANZA KUCHEZA NA RUSSIA. 17 Mar 2016
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.