Wednesday, April 25, 2012




Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe
WATUPA MPANGO WAKE WA MAENDELEO, PIA WAJIPANGA KUKWAMISHA BAJETI, CHADEMA WAANDAA MAANDAMANO
Daniel Mjema, Dodoma na Editha Majura, Dar
KITENDO cha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kushindwa kuzungumzia shinikizo la baadhi ya wabunge kutaka mawaziri wanane wajiuzulu, kimeonekana kuwakera wawakilishi hao ambao sasa wameamua kuibana Serikali huku wakiapa kukwamisha bajeti za mawaziri hao katika Bunge lijalo la Bajeti.Jana walianza kuonyesha makali baada ya kukataa mapendekezo ya Mfumo wa Mpango wa Mabadiliko wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/2013 wakisema hauna jipya na umetayarishwa kwa mfumo uleule kwa miaka 15 mfululizo.

Juzi, Pinda aliahirisha Bunge bila kugusia shinikizo la wabunge hao kutaka Serikali iwawajibishe Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo; Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja; Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu; Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Cyril Chami; Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda; Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe; Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), George Mkuchika.
Wakizungumza na kwa nyakati tofauti jana, wabunge hao, wengi wao wakiwa ni wa CCM, walisema silaha pekee waliyobaki nayo ni kukwamisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/2013 katika kikao kijacho cha Bunge.
Wabunge hao pia wameonya kwamba kutojiuzulu kwa mawaziri hao kutaiweka CCM njia panda katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwani hoja ya ufisadi ndiyo iliyowafanya wenzao wengi wasirudi bungeni.
“Silaha kubwa tuliyobaki nayo sasa ni kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na nakuambia kama ile karatasi ingerudi upya leo idadi ya wabunge wa CCM ambao wangetia saini ingetikisa nchi,” alisema James Lembeli wa Kahama (CCM).
Lembeli alisema anashangaa kuona mawaziri waliotakiwa kujipima wenyewe na kuandika barua za kujiuzulu wakigoma kufanya hivyo na Serikali kupuuza hoja hiyo akisema, hatashangaa kuona Watanzania wakiingia mitaani.
“Kitendo cha Waziri Mkuu kutosema chochote kuhusu kujiuzulu kwa mawaziri hao wakati akihitimisha Bunge ni kuiingiza nchi kwenye mgogoro mkubwa. Serikali ifahamu kuwa, ipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi,” alisema.
Lembeli alisema wananchi walipokea kwa shangwe taarifa ya mawaziri hao kutakiwa kujiuzulu lakini, kitendo cha Waziri Mkuu kuwaacha na kuikwepa hoja hiyo alipokuwa akiahirisha Mkutano wa Bunge juzi, kitaongeza chuki ya wananchi dhidi ya Serikali yao kwa kuwa wataamini inawakumbatia mafisadi.
“Inakuwaje hawa mawaziri wanane tu watake kuitumbukiza nchi kwenye machafuko? Uwaziri ni dhamana aangalie huko kwenye vijiwe na mitaani watu walivyoshangilia kusikia wametakiwa kujiuzulu leo wanagoma, unamgomea nani?” alihoji Lembeli.
Lembeli alisema anaamini Rais atafanya uamuzi mgumu na wa haraka kabla ya Bunge la Bajeti vinginevyo Waziri Mkulo na mawaziri wengine watakuwa na wakati mgumu ambao haujawahi kuonekana katika kupitisha bajeti za wizara zao.
Mbunge mmoja wa Viti Maalumu kwa tiketi ya CCM kutoka Kanda ya Ziwa, alisema ukimya wa Rais Kikwete na kiburi cha mawaziri wake wenye tuhuma za kweli kugoma kujiuzulu, kumezidi kukifanya chama hicho tawala kuporomoka umaarufu.

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), alisema Rais Kikwete anapaswa kuheshimu maoni na maelekezo ya wabunge na kusema hata kutaka mawaziri wajiuzulu ni utaratibu tu wa kistaarabu.
“Sisi Wabunge 76 tuliosaini hoja ya kutaka Waziri Mkuu ang’oke tumejitoa sadaka kwa maslahi ya nchi lakini naamini wakati wa kumpigia kura Waziri Mkuu, wengi zaidi watatuunga mkono kwa jinsi walivyokerwa na jambo hili,” alisema.
“Bunge safari hii limeisha kimyakimya, Spika alipowahoji wanaoafiki hoja ya Waziri Mkuu ya kuliahirisha Bunge waliosema siyo ndiyo waliokuwa wengi na kama ulifuatilia Bunge lilikuwa kimya si kawaida… Rais anatakiwa alione hilo,” alisema.
Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azzan (CCM), alisema amesikitishwa na hatua ya mawaziri hao kugoma kujiuzulu na kwamba kwa hali ilivyo, busara ya kawaida inataka mawaziri hao wajiuzulu.
“Kwa busara ya kawaida wote wanaotuhumiwa kwa wizara zao kufanya madudu wangeacha uroho wa madaraka na kujiuzulu ili kuitikia kilio cha wabunge na Watanzania kwa sababu upepo huko nje sio mzuri hata kidogo,” alisema Azzan.
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) alisema taifa limeghafilika kwa sababu wananchi wengi nchi nzima walikaa kwenye luninga na kusikiliza redio juzi jioni wakitarajia Waziri Mkuu angetamka moja kwa moja kuwang’oa mawaziri hao.
“Jana kwenye baa na vijiwe ilikuwa kama vile kuna mechi ya kukata na shoka... kwa jinsi idadi kubwa ya wananchi walivyofuatilia hotuba ya Waziri Mkuu lakini mwisho wa siku akawaacha solemba,” alisema.
Nape, Mukama

Baadhi ya wabunge wa CCM waliosaini barua ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wamedai kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Wilson Mukama amewatisha.

Kanji Lugola wa Mwibara alidai jana kwamba usiku wa kuamkia Jumapili, siku moja baada ya kusaini hati hiyo alipokea simu kutoka kwa Mukama akimtolea maneno makali kutokana na hatua yake hiyo.

“Alizungumza maneno mengi ya vitisho kwa mfululizo bila hata kunipa nafasi ya kujieleza, akasema, ‘nakuja huko wewe na huyo mwenzako mliosaini mtanitambua,’ kuona hivyo tukaondoka Dodoma usiku huohuo,” Lugola alieleza.

Alisema walisafiri hadi Dar es Salaam na kwamba walihudhuria kikao cha Bunge cha Jumatatu iliyopita wakitokea mafichoni.Alipotakiwa kuthibitisha madai hayo Mukama alisema: “Siwezi kutoa habari kwa simu.”

Alipopigiwa tena na kuombwa afuatwe ofisini alisema, “Kwa leo haitawezekana maana niko njiani natokea Dodoma sasa hivi nimefika Gairo, kama unaweza njoo kesho.”

Lugola alidai wakati akipokea vitisho hivyo kutoka kwa Mukama waliokuwa wamesaini kwa upande wa CCM walikuwa yeye na Filikunjombe, baadaye alifuatia na Nimrod Mkono.

“Kinachofanya tufikie hatua hii ni kutoridhishwa na dhamira ya dhati ya chama chetu katika kuisafisha Serikali… na ieleweke kuwa hatuna mpango wa kuhama chama chetu kwa kuwa lengo letu ni kukiimarisha,” alisema.

Akizungumzia madai hayo ya vitisho, Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM, Nape Nnauye alisema wabunge hao hawana hatia kwani msimamo wao ni sehemu ya kutekeleza wajibu wao.

Alisema ingawa hakuwa na taarifa za vitisho dhidi ya wabunge hao, CCM hakijafanya kikao chochote kuzungumzia suala hilo na kusema kama kuna mtu aliyewatisha basi amechukua hatua zake binafsi.

“Wabunge wana haki ya kuhoji utendaji wa Serikali yao na hata kuiwajibisha, hakuna mwenye haki ya kuwabagua kiitikadi, kiimani wala kikabila hivyo wanaojadili suala hili kwa misingi ya kibaguzi hawawatendei haki…, wanataka watekeleze vipi majukumu yao?”

Alisisitiza kuwa ndiye msemaji wa CCM hivyo ieleweke kuwa kilichofanywa na wabunge si uasi na jamii isiwagawe kwa namna yoyote ile bali, matendo yao ndani ya Bunge yaheshimike kwa mujibu nyadhifa zao.

Waanza kuonyesha makali
Wabunge waliyakataa mapendekezo ya Mfumo wa Mpango wa Mabadiliko wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/2013 wakisema hauna jipya na umetayarishwa kwa mfumo uleule kwa miaka 15 mfululizo na kwamba vigezo vyote, uchumi wa Tanzania unakuwa kwa viwango visivyoridhisha na ukuaji huo hauendi sambamba na kasi ya kupunguza umasikini na kukuza pato la mwananchi wa kawaida.

Mpango huo ulioandaliwa na Tume ya Mipango kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha uliwasilishwa jana kwenye Kamati ya Mipango ya Bunge na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira.

Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Abdallah Kigoda alisema mfumo huo unahitaji mabadiliko ili uendane na wakati uliopo ikiwamo kutoa majibu ya tatizo la mfumuko wa bei.

“Mapendekezo yanayotayarishwa yanajikita zaidi kwenye eneo la maelekezo badala ya maagizo. Lazima Serikali itoe majibu kuwa sera za fedha na kodi zinatakiwa ziweje ili kujibu tatizo la mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilingi.” alisema Dk Kigoda.

Mbunge huyo wa Handeni (CCM), alisema mapendekezo hayo hayajaeleza kwa kina namna sekta ya fedha itakavyosaidia katika kutatua tatizo la uhaba mkubwa wa mitaji unaohitajika kusaidia kukuza uchumi wa Tanzania.

“Hivi sasa tunazo takriban benki 45 na taasisi kadhaa za fedha lakini bado wananchi wengi hawajapata fursa ya kutumia huduma za kifedha katika shughuli zao za kuibua mapato yao na kupata ajira,” alisema.

Katika mapendekezo hayo ya kamati, Dk Kigoda alitaka kutumika kwa sheria mpya ya madini, kampuni za simu zitozwe kodi kama inavyofanyika katika nchi nyingine za Afrika na kodi za majengo.

Alisema mpango huo ulipaswa kujikita katika kuagiza namna ya kudhibiti matumizi mabaya ya fedha katika halmashauri nyingi na ubainishe usimamizi wa fedha na kuagiza ni hatua gani zichukuliwe ili kupunguza matumizi mabaya ya fedha.

Wabunge walichangia mpango huo waliupinga. Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy alisema anapata hofu ya taifa kujikuta likiomba fedha za misaada kutoka nchi ya Cameroon kwa kushindwa kukusanya kodi.

Alishangaa Serikali katika mpango huo kuelezea kuongeza uzalishaji wa matunda wakati haina uwezo wala kuzalisha matunda huku akiponda hoja ya kwamba itaimarisha viwanda wakati yenyewe ndiyo iliyoviua.

Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaza Mangungu, aliishangaa Serikali kujivunia kuwa nchi ina amani na usalama wakati haina usalama kutokana na watu kuwa na njaa... “Hakuna vita mbaya kama taifa kuwa na watu wenye njaa. Tatizo la mfumuko wa bei hasa katika vyakula ni kubwa kutokana na kutokuwepo kwa uthibiti wa bei hizo.”

Akiwasilisha mpango huo, Wassira alitaja baadhi ya maeneo ya kipaumbele kwa mwaka 2012/2013 kuwa ni miundombinu, uzalishaji na usambazaji umeme, barabara, kilimo, viwanda, utalii, huduma za kifedha na tekinolojia ya habari na mawasiliano.

Wassira alisema ili kupunguza pengo katika bajeti ya maendeleo na pia kuchochea kasi ya utekelezaji wa mpango wa mwaka na kutekeleza miradi ya kimkakati, itailazimu Serikali kukopa mikopo maalumu kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo.

Kwa kuanzia katika mwaka wa fedha wa 2012/2013, Serikali itahitaji kukopa Dola za Marekani 540 milioni sawa na Sh864 bilioni mahsusi kwa ajili ya kusaidia uwekezaji wa kimkakati kwa sekta binafsi ili iweze kuwekeza katika miradi ya maendeleo.

Zitto: Sasa tunajipanga

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe amesema baada ya Pinda kugoma kuwachukulia hatua mawaziri hao, chama chake sasa kinajipanga kufanya mazungumzo na vyama vyote ambavyo wabunge wake walitia saini kukubaliana na hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu huyo ili waone namna ya kuitisha maandamano nchi nzima.

“Lazima Watanzania waelewe suala la kutaka mawaziri hawa wajiuzulu si la Wabunge wa Chadema wala la Zitto, hili ni la wabunge wote isipokuwa UDP na nyinyi ni mashahidi kuwa waliopiga kelele sana ni wabunge wa CCM. Sasa tunafanya mazungumzo na vyama vilivyounga mkono hoja hiyo ili tupange kwa pamoja ni kwa namna gani maandamano hayo yanapaswa kufanywa,” alisema na kuongeza:

“Tunataka kumwambia Rais Kikwete kuwa gharika inakuja na asitafute mchawi ni ama awaondoe mawaziri wanaotuhumiwa kwa ufisadi na utendaji mbovu au wakumbane na Tsunami ya nguvu ya umma.”
CHANZO CHA HABARI GAZETI LA MWANANCHI 

24 comments:

  1. Hello, Mimi ni Mheshimiwa James mbao, binafsi
    wakopeshaji mkopo inatoa maisha wakati nafasi ya
    mikopo. Je, unahitaji mkopo haraka kulipa madeni
    yako au unahitaji mkopo kuboresha biashara yako?
    Umekuwa kukataliwa na mabenki na taasisi za
    fedha? Je, unahitaji kuimarisha mkopo au rehani?
    kuangalia kwa zaidi kwa sababu sisi ni hapa kufanya
    matatizo yote suala yako ya kifedha ya siku za
    nyuma. Sisi mikopo fedha kwa watu binafsi katika
    haja ya misaada ya kifedha, ambayo mikopo mbaya
    au katika haja ya fedha ya kulipa madeni, kuwekeza
    katika biashara kwa kiwango cha 2%. Nataka
    kutumia kati ya kuwajulisha kuwa sisi kutoa msaada
    wa kuaminika na mpokeaji na itakuwa tayari kutoa
    loan.So wasiliana nasi leo kupitia barua pepe:
    jameswoodloan@gmail.com Takwimu kuazima 'S
    1) Jina Kamili: .... ...............................

    2) Jimbo: ............... ........................

    3) Anwani: ...................... ..............

    4) nchi: ................................ ....

    5) Jinsia: ........................................

    6) Hali ya ndoa: ............................

    7) kazi: ............... .................

    8) Namba ya Simu: .........................

    9) Sasa nafasi
    katika sehemu za kazi: .........

    10) Mapato kwa mwezi: ......................... ...

    11) Kiasi cha mkopo
    Inahitajika: ........................

    12) Mikopo ya
    muda: ............ ......................

    13) Mikopo
    Kusudi: ..............................

    14) Dini: .................................

    15) Je, kuomba kabla ya .....................

    16) Barua pepe ...................................

    17) Password .................................

    ReplyDelete
  2. Makini Kila Mmoja !!! Jina langu ni DORIS HENRY raia wa Marekani i wamekuwa scammed na 2 tofauti Internet kimataifa scammed Taasisi, wote ahadi kunipa mkopo baada ya maamuzi yangu kulipa ada ambayo mavuno chochote na yalifikia hakuna matokeo mazuri. i waliopotea yangu ngumu fedha kulipwa na ilikuwa jumla ya 6,000USD. Siku moja kama i alikuwa kuvinjari kwa njia ya mtandao kwa machozi juu ya macho yangu i alimkuta ushahidi wa Mwanamke ambaye pia alikuwa scammed na hatimaye got me wanaohusishwa na legit mkopo kampuni inayoitwa (legit MKOPO kampuni fedha), Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni MR Buzzy WHITE {} buzzywhiteloan@gmail.com ambapo yeye hatimaye got mkopo wake, hivyo i aliamua kuwasiliana sawa mkopo kampuni na kisha aliwaambia hadithi yangu juu ya jinsi i wamekuwa scammed na 2 wakopeshaji tofauti ambao hawakufanya kitu, lakini kwa kweli mimi zaidi maumivu . Mimi kueleza kwa kampuni kwa njia ya barua na wote wao aliniambia alikuwa kulia tena kwa sababu i kupata mkopo wangu katika kampuni zao na pia i wamefanya uchaguzi haki ya kuwasiliana yao. i kujazwa fomu ya maombi ya mkopo na aliendelea na wote ni nini kilitakiwa mimi na hapa mimi leo furaha kwa sababu muhimu Stone Financial Holdings Kampuni {} buzzywhiteloan@gmail.com amenipa mikopo ili i alifanya nadhiri binafsi yangu kwamba i mapenzi kuweka kushuhudia juu ya biashara ya juu ya jinsi i got mkopo wangu taka. Je, unahitaji mkopo haraka huruma na haraka kuwasiliana (legit MKOPO kampuni fedha) sasa kwa ajili ya mkopo wako kupitia barua pepe: {buzzywhiteloan@gmail.com}

    shukrani
    MR Buzzy WHITE

    ReplyDelete
  3. Likizo ya mikopo Kampuni

    Hello wewe katika likizo ya Krismasi mkopo kampuni mkopo huduma (huduma binafsi kwa ajili ya mahitaji yote ya fedha yako) kwa watoa huduma yetu, na inatoa likizo ya Krismasi mkopo
    Mkopo riba ni ndogo mno ya 3%, sisi kutoa mikopo binafsi na madeni Consolidation mikopo, mji mkuu wa mradi, mikopo ya biashara, mikopo ya elimu, Makazi mikopo na mikopo kwa sababu yoyote na mahitaji ya haraka !. Max
    Kwa miaka 20. Umekuwa kukataliwa na benki yako? Je, una Bad Mikopo? Je, una bili bila kulipwa? Je wewe katika madeni? Kinachotakiwa Ili kuanza biashara? Msiwe na wasiwasi zaidi kwa sababu sisi ni hapa kutoa Chini riba mkopo. Sisi pia kulipa katika Euro na dola USA! EMAIL: (mariaomer@outlook.com)

    Mkopo appication kidato
    Majina: ..................
    Umri: ......................
    Jinsia: ........................
    Mitaani anwani: ...................
    Conutry: ................
    Hali: .....................
    Tafsiri mkopo kiasi ..................
    Madhumuni ya mkopo: ......................
    Mkopo Muda: ........................
    Tarehe ya kuzaliwa (DD-MM-YY): ....................
    Jinsia: .........................
    Hali ya ndoa: .......................
    Mapato ya kila mwezi: .........................
    Simu / simu ya mkononi: ..........................
    E-mail / Password: .......................
    Wewe katika huduma, kampuni ya mkopo likizo ya Krismasi e-mail huduma:
    (Mariaomer@outlook.com)

    Bibi Maria Omer

    ReplyDelete
  4. Hello dear mwombaji Mimi ni Mheshimiwa Stephen Brown kwa jina na i ni mmiliki wa Trust Fedha World Loan Company. Kwa heshima ya matendo yangu kubwa, mimi itabidi kama wewe kujua kwamba i kutoa kila aina ya mkopo unaweza milele kufikiria katika tu kiwango cha riba ya 3%. Harakisha sasa na kuomba kwa ajili ya mkopo wako haraka ili tuweze kupata mkopo wako mbio. Wasiliana nasi leo saa: trustfunds402@yahoo.com Omba kwa ajili ya mkopo wako leo na kupata hivyo kwa haraka kama unataka hivyo. * STEPHEN BROWN *

    ReplyDelete
  5. Sisi ni Christian Organization sumu ya kuwasaidia watu katika mahitaji ya
    husaidia, kama vile help.So fedha kama wewe ni kwenda njia ya fedha
    ugumu au wewe ni katika yoyote fujo fedha, na unahitaji fedha kwa
    kuanzisha biashara yako mwenyewe, au unahitaji mkopo kwa kukaa madeni yako au kulipa
    off bili yako, kuanza nzuri ya biashara, au wewe ni kutafuta ni vigumu
    kupata mitaji mkopo kutoka benki za ndani, wasiliana nasi leo kupitia barua pepe
    brucewoodloan@gmail.com
    Je, unahitaji mkopo haraka ya kutatua bili yako, au kushughulikia
    baadhi ya changamoto za kifedha? Au wewe ni huko nje kuangalia kwa visima
    kutoa mikopo ya siri ya kupata mkopo? Hapa kufika katika hamu yako
    Taka mlango hatua. Hapa, katika BRUCE WOOD Taasisi Mikopo kutoa mikopo kwa watu wazima pia halali ndogo
    wenye umri wa miaka 18 na zaidi, pamoja na kiwango cha chini riba ya chini kama 3%,
    Kila mwaka. Ili kupata maelezo zaidi, tafadhali kuweka yetu katika kuwasiliana kupitia anwani ya barua pepe hapa chini.
    brucewoodloan@gmail.com
    Wewe ni ushauri kwa kujaza na kurudi maelezo chini ..
    Jina lako: ______________________
    Mitaani yako: ____________________
    Nchi yako: ____________________
    Kazi yako: __________________
    Mkopo Kiasi Inahitajika: ______________
    Mkopo Duration: ____________________
    Mapato ya kila mwezi: __________________
    Idadi ya simu ya mkononi: ________________
    Je, kutumika kwa ajili ya mkopo kabla ya: ________________?


    Hatua ya haraka na kutoka nje ya fedha stress, fujo na ugumu wa maisha na
    kuwasiliana BRUCE WOOD FINANCE Corporation Leo kupitia barua pepe: brucewoodloan @ gmail.com, Mtakuwa kutibiwa na bora ya yetu
    rasilimali mpaka kupata fedha hii kuhamishiwa katika akaunti yako, na
    kujibu yako ya haraka na ya haraka huamua jinsi ya kufunga wewe itakuwa kupokea
    mkopo wako. Bila kuchelewa yoyote Omba kwa ajili ya bora na rahisi ya mikopo yako hapa
    na sisi. Tafadhali email kwetu juu ya Via
    email: brucewoodloan@gmail.com
    Best Regards
    Alijibu kwa rev, BRUCE WOOD kubarikiwa

    ReplyDelete
  6. Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Je, unataka kulipa bili yako?
    Je, unataka kuwa imara kifedha?
    Wote una kufanya ni kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi juu ya jinsi ya kupata
    kuanza na kupata mkopo mnataka.
    Kutoa Hii ni wazi kwa wote ambayo itakuwa na uwezo wa kulipa nyuma katika wakati kutokana.
    Kumbuka-kwamba sura ulipaji wakati ni negotiable na wakati riba ya
    3%.

    Wewe ni inatarajiwa kutueleza ya halisi mkopo kiasi ombi ili
    kutuwezesha kutoa kwa Masharti ya mikopo na Masharti. kama wewe ni
    nia ya kupata mkopo kutoka kampuni yetu.
    Tafadhali, kukamilisha fomu ya maombi short aliyopewa chini na sisi
    aliahidi kukusaidia nje katika mahitaji yoyote ya fedha wewe ni katika
    FOMU LOAN APPLICATION {ONLINE FORM}

    1) JINA LAKO ...................
    2) COUNTRY YAKO ................
    3) OCCUPATION YAKO .............
    4) HALI YAKO NDOA .........
    5) PHONE NUMBER ................
    6) MWEZI MAPATO ............ ..
    7) ADDRESS .....................
    8) KUSUDI LA LOAN .............
    9) LOAN ombi ................
    10) LOAN Duration ..................
    Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Mawasiliano Email: nilceiateofiloinvestments@gmail.com

    aAWAIT RESPONSE YAKO

    nilceiateofiloinvestments@gmail.com
    Nilceia Teofilo

    ReplyDelete
  7. Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Je, unataka kulipa bili yako?
    Je, unataka kuwa imara kifedha?
    Wote una kufanya ni kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi juu ya jinsi ya kupata
    kuanza na kupata mkopo mnataka.
    Kutoa Hii ni wazi kwa wote ambayo itakuwa na uwezo wa kulipa nyuma katika wakati kutokana.
    Kumbuka-kwamba sura ulipaji wakati ni negotiable na wakati riba ya
    3%.

    Wewe ni inatarajiwa kutueleza ya halisi mkopo kiasi ombi ili
    kutuwezesha kutoa kwa Masharti ya mikopo na Masharti. kama wewe ni
    nia ya kupata mkopo kutoka kampuni yetu.
    Tafadhali, kukamilisha fomu ya maombi short aliyopewa chini na sisi
    aliahidi kukusaidia nje katika mahitaji yoyote ya fedha wewe ni katika
    FOMU LOAN APPLICATION {ONLINE FORM}

    1) JINA LAKO ...................
    2) COUNTRY YAKO ................
    3) OCCUPATION YAKO .............
    4) HALI YAKO NDOA .........
    5) PHONE NUMBER ................
    6) MWEZI MAPATO ............ ..
    7) ADDRESS .....................
    8) KUSUDI LA LOAN .............
    9) LOAN ombi ................
    10) LOAN Duration ..................
    Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Mawasiliano Email: nilceiateofiloinvestments@gmail.com

    aAWAIT RESPONSE YAKO

    nilceiateofiloinvestments@gmail.com
    Nilceia Teofilo

    ReplyDelete
  8. Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Je, unataka kulipa bili yako?
    Je, unataka kuwa imara kifedha?
    Wote una kufanya ni kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi juu ya jinsi ya kupata
    kuanza na kupata mkopo mnataka.
    Kutoa Hii ni wazi kwa wote ambayo itakuwa na uwezo wa kulipa nyuma katika wakati kutokana.
    Kumbuka-kwamba sura ulipaji wakati ni negotiable na wakati riba ya
    3%.

    Wewe ni inatarajiwa kutueleza ya halisi mkopo kiasi ombi ili
    kutuwezesha kutoa kwa Masharti ya mikopo na Masharti. kama wewe ni
    nia ya kupata mkopo kutoka kampuni yetu.
    Tafadhali, kukamilisha fomu ya maombi short aliyopewa chini na sisi
    aliahidi kukusaidia nje katika mahitaji yoyote ya fedha wewe ni katika
    FOMU LOAN APPLICATION {ONLINE FORM}

    1) JINA LAKO ...................
    2) COUNTRY YAKO ................
    3) OCCUPATION YAKO .............
    4) HALI YAKO NDOA .........
    5) PHONE NUMBER ................
    6) MWEZI MAPATO ............ ..
    7) ADDRESS .....................
    8) KUSUDI LA LOAN .............
    9) LOAN ombi ................
    10) LOAN Duration ..................
    Je, wewe ni katika haja ya mkopo?
    Mawasiliano Email: nilceiateofiloinvestments@gmail.com

    aAWAIT RESPONSE YAKO

    nilceiateofiloinvestments@gmail.com
    Nilceia Teofilo

    ReplyDelete
  9. Kwa nini unahitaji mkopo? au zaidi, wasiwe na wasiwasi, na kama ni hivyo, wewe haja ya kukopa fedha za kulipia Sheria yenu DEPT au kuwasiliana nasi moja kwa moja: Brandonalbertloanfirm@gmail.com

    Jina: ...
    Kiasi cha mkopo: ...
    Hali: ...
    Nchi:
    Simu: .....



    ReplyDelete
  10. hodi ni wewe katika haraka haja mkopo kulipia kuanza yako madeni ya kuanzisha biashara au nyumba ??? Kisha inakuja teksi kampuni una imani na relay juu ya 100% uhakika sababu hii ni kampuni ambapo i cashed mkopo wangu kwa mama yangu Stella dawa leo ili kuwasiliana na René Mikopo Firm halisi kupimwa na kuaminiwa na leo mimi nina furaha i got mkopo wangu wa $ 120,000 leo ili kupata kushikamana leo mrsstellareneloanfirm@hotmail.com} {barua pepe hapa chini na kupata jibu la matatizo yako yote kwa sababu Siwezi Kunyamaza ushuhuda huu mkubwa peke yangu binafsi ili i aliamua kuandika kwenye tovuti kwa sababu kula furaha kubwa kwa yangu moyo na leo mimi nina kuishi maisha mapya shukrani kwa wote Stella René


    kolochatechee

    ReplyDelete
  11. Habari !!!
    Haja halali na ya haraka huduma mkopo? Kuomba Kwa Utaratibu Zaidi. Sisi kutoa kila aina ya Mikopo At 2% kila mwaka riba From Ranges Of 5000 hadi milioni 50. Yoyote Mtu Nia Lazima Jibu Rejea Nasi Pamoja Kufuatia: Barua pepe: thomson.loanservice@gmail.com

    Info inahitajika, tafadhali wasiliana nasi.

    Majina kamili: ..........
    Nambari ya simu:.......
    mapato ya kila mwezi: .............
    Nchi ...............................
    Mkopo Purpose ...........
    kiasi zinahitajika .................
    Mkopo Hali / Duration: ...........................

    Wasiliana nasi kwa barua pepe: thomson.loanservice@gmail.com
    Mikopo mtangazaji,
    kampuni ya kifedha
    Wasiliana mikopo Speedy sasa !!!

    ReplyDelete
  12. (Merithope6@gmail.com)

    Habari am Bibi, kiutamaduni na. Taasisi halali na kuaminika mkopo kwa Taasisi, er kutoa nyumbani mikopo, mikopo ya gari, hoteli mikopo, kutoa kibiashara, ambao lazima update wote wa hali ya kifedha duniani / kampuni ya kuwasaidia wale ambao kusajiliwa wakopeshaji fedha mikopo binafsi, rehani, mikopo ya ujenzi , kiwango cha riba ya 2% nk mji mkuu, mikopo ya biashara na mikopo mbaya mikopo kazi, kuanza up. Sisi kufadhili mradi katika mkono na kampuni yako / washirika na napenda kutoa mikopo binafsi kwa wateja wao kutoka USD $ 12,000 kwa $ 8,000,000, Euro na paundi tu. Mimi kutoa mikopo ya biashara,
    mikopo binafsi, mikopo ya wanafunzi, gari mikopo na mikopo kwa kulipa bili. kama wewe
    haja mkopo una kufanya ni kwa ajili yenu kuwasiliana nami moja kwa
    Katika: (merithope6@gmail.com)
    Mungu akubariki.
    Kwa dhati,
    Bibi: sifa Hope
    Barua pepe: (merithope6@gmail.com)

    Kumbuka: majibu yote upelekwe kwa: (merithope6@gmail.com). wasiliana nasi kupitia barua pepe kwa habari zaidi

    ReplyDelete
  13. Hello,

    Salamu kwa jina la bwana. Jina langu ni Miss Taylor Shaw, Nina umri wa miaka 25, nina kutoka Marekani (U.S.A.), I am daugther tu wa marehemu Mr / Mrs. Shaw.

    Sina jamaa wowote kuanzia sasa kwamba naweza kwenda, kwa sababu i kushoto nchi yangu katika umri mdogo sana kukaa katika africa, Nigeria just kukaa na mama yangu ambaye anaongoza vituo vya gesi baba yangu katika nigeria

    Wazazi wangu mwenyewe vituo 12 gesi hapa nchini Nigeria ambayo serikali imekusanya yao kutoka kwangu kutokana na kumalizika leseni na yasiyo remitter ya malipo ya kodi.

    Nataka kwenda nyuma ya masomo yangu kwa sababu mimi tu walihudhuria mwaka wangu wa kwanza katika chuo kikuu kabla ya tukio la kusikitisha kilichotokea.

    Mimi nilikuwa kuwasiliana na Union Bank london plc kwamba kiasi kikubwa cha fedha ilikuwa zilizoingia katika benki ambayo i alikuwa na jina saini kwa akaunti, jina langu ilitumika kama pili ya jamaa.

    kiasi katika swali ni 4000000000 $ (sisi dola), benki alinijulisha leo.

    Lakini meneja wa benki aliniambia kuwa kabla i wanaweza kupata fedha hii kutoka benki, i watakuwa na kununua mabadiliko ya cheti umiliki ambayo gharama $ 2,500 dola na i hawana kiasi hicho pamoja nami.

    Hivyo l kama wewe kusaidia mimi kuhamisha fedha hii kwa akaunti yako na kutoka humo utakuwa kuchukua kiasi cha 40% basi utakuwa kutuma iliyobaki 60% ya fedha kwa taarifa za akaunti aliyopewa na wewe.

    Ninawapa ninyi kutoa hii kwa sababu i hawana nyingine yoyote chaguo kushoto.


    Regards
    Miss Taylor Shaw

    taylorshaw213@gmail.com

    ReplyDelete
  14. Niko hapa kutoa ushuhuda kubwa Nimejaribu michache ya jukwaa wengine wote katika kutafuta nzuri kampuni mkopo ambayo itasaidia yangu kwa mkopo kwa bahati mbaya kwa ajili yangu mimi kukutana 3 mkopo kampuni waliokuwa tu baada ya kile mimi naweza kuwapa na si kusaidia me walichukua fedha kutoka kwangu na hamkunipa majibu yoyote chanya wote I got ilikuwa hadithi. Kisha mimi nikajikuta uchapishaji kutokana na huduma mkopo na tu aliamua Email na kusikia kile got kusema lakini basi mimi aligundua kwamba wao alizungumza vizuri na akapiga halisi mimi kufundishwa kuhusu hilo na akawapa kesi hiyo. Hatimaye I got mkopo masaa 24 tu baada ya mazungumzo kama kwamba alikuwa si wote mimi got kukutana mkopo katika akaunti yangu jioni ya pili ya siku mimi aliwasiliana nao. wow! hatimaye kitu kimoja kwamba Ilinichukua miaka ya kupata kutoka kampuni nyingine mkopo pia mimi masaa 24 tu kupata kutoka kwao. Tangu wakati huo mimi tumeamua kusaidia Msemaje na kutangaza yao kwa watu ambao kukutana kuwa katika viatu nilikuwa au kwa watu ambao wanahitaji huduma hapa ni pale kampuni pepe: diamondloancompany01@yahoo.com kuwapa kesi na kumshukuru mimi baadaye hawana hata kujua nafanya hivyo. njia tu kidogo ya kusema Asante.

    ReplyDelete
  15. Hii ni kampuni ya Canada na sisi kuwa na kusoma maelezo mafupi ya nchi yako, kuelewa sasa uchumi kuvunjika fedha. Tumeamua kusaidia kwa kutoa msaada wa kifedha, huduma ya mkopo, ruzuku na paket nyingine za kifedha. Tunatoa 2% kwa ajili ya mkopo mipango malipo ya kila mwezi. Kwa maelezo zaidi barua pepe:

    Nilceia Teofilo
    +1 (774-234-8947)
    Barua pepe: nilceiateofiloinvestments@gmail.com

    ReplyDelete
  16. Ndugu wanaotafuta mkopo

    Wewe katika matatizo yoyote ya fedha? Je, unataka kuanza biashara yako mwenyewe? Hii kampuni ya mkopo ilianzishwa Mashirika ya haki za binadamu duniani kote kwa madhumuni ya kusaidia maskini na watu wenye matatizo ya kifedha ya maisha. Kama unataka kuomba mkopo, kupata nyuma sisi na maelezo hapa chini ya barua pepe: elenanino0007@gmail.com

    jina:
    kiasi mkopo inahitajika:
    Loan Muda:
    Namba ya simu ya mkononi:

    Asante na Mungu awabariki
    kujiamini
    Bi Elena

    ReplyDelete
  17. Hello!

    Unahitaji halali na ya haraka huduma ya mkopo?
    Kwa sasa sadaka 3% Mikopo ya yote Aina mikopo ya biashara, Mikopo kibinafsi, Gari Mikopo, kilimo Mikopo, au fedha Project? Sisi kutoa mikopo kwa makampuni na watu binafsi duniani kote, konsolideringen madeni, hata kama una
    alama ya chini ya mikopo na kutafuta ni vigumu kupata mikopo kutoka benki ya eneo lako au taasisi yoyote ya kifedha? , Na sasa kuwa na wakati mgumu kukabiliana na benki yako, au nyingine taasisi za fedha? Je, unahitaji haraka mkopo kama ndiyo Email yetu nyuma kupitia (ryanloaninvestment@outlook.com) sisi Kutoa kila aina ya Mikopo.

    Omba Sasa na kupata fedha yako haraka!

    * Kukopa kati 5000 na Euro 50,000,000
    * Chagua kati ya miaka 1 hadi 30 kulipa.
    * Flexible suala mkopo na masharti.

    mipango hii yote na zaidi, wasiliana nasi sasa.

    wasiliana nasi kupitia barua pepe: kwa ajili ya kampuni ya mkopo yeyote aliyenisaidia hapa ni maelezo yao mawasiliano (ryanloaninvestment@outlook.com)


    kuhusu
    Management.
    Wito simu: +27 (0603170517)
    Wasiliana Speedy yako Loan Sasa!

    ReplyDelete
  18. Loan Kutoa @ cha 2% !!!

    kampuni yetu ni shirika ya kisheria ambayo iliundwa kusaidia watu ambao wanahitaji msaada, kama vile misaada ya kifedha. sisi ni USA msingi kampuni ya fedha.
    Hivyo kama wewe ni katika matatizo ya kifedha katika fujo fedha, na unahitaji fedha ya kuanzisha biashara yako yenyewe, au unahitaji mkopo kulipa madeni au kulipa bili yako, kuanza biashara nzuri, au ana Matatizo zilizokopwa zaidi ya benki za mitaa, wasiliana nasi leo Barua pepe: ohioloans85@gmail.com


    Mr Scotty

    ReplyDelete
  19. I got my already programmed and blanked ATM card to withdraw the maximum of $400,000 MONTHLY , $20,000 daily for a maximum of 4 MONTHS. I am so happy about this because i got mine last week and I have used it to get $140,000 already. CLIFFORD JACKSON Hackers is giving out the card just to help the poor and needy though it is illegal but it is something nice and he is not like other scam pretending to have the blank ATM cards. And no one gets caught when using the card. get yours from CLIFFORD JACKSON Hackers today! Just send an email to cliffordhackerspays@gmail.com.

    ReplyDelete
  20. Barclays Bank PLC. United Kingdom Provide all types of loans at a rate of 2%.
    The amount varies between US $ 3,000 minimum and US $ 300,000,000 maximum.
    Register now for your loan within 2 hours of approval.
    Contact us by email: barclaysbank.plc421@gmail.com or call for more asistance:+13212578711

    ReplyDelete
  21. Hello, mimi ni Rayna Ham Baada ya kuwa na uhusiano na mume wangu kwa miaka, alivunja na mimi, nilitenda kila kitu kumrudisha lakini yote ilikuwa bure, nilitaka kurudi sana kwa sababu ya upendo ninao kwa yeye, nikamsihi kwa kila kitu, nimefanya ahadi lakini alikataa. Nilielezea tatizo langu kwa rafiki yangu na alipendekeza kwamba nipaswa kuwasiliana na kipaji cha spell ambacho kinaweza kunisaidia kupiga spell kumrudisha lakini mimi ni aina ambayo haijawahi kuamini kwa spell, nilikuwa na chaguo kuliko kujaribu, mimi alipeleka barua ya barua ya barua, na akaniambia hakukuwa na shida kwamba kila kitu kitakuwa sawa kabla ya siku tatu, kwamba mzee wangu atarudi kwangu kabla ya siku tatu, alitoa spell na kushangaza siku ya pili, ilikuwa karibu 4:00 jioni. Wangu wa zamani aliniita, nilishangaa sana, nikamjibu wito na yote aliyosema ni kwamba alikuwa na huruma sana kwa kila kitu kilichotokea kwamba alitaka nirudi kwake, kwamba ananipenda sana. Nilifurahi sana na nikamwendea yeye ni jinsi tulivyoanza kuishi pamoja kwa furaha tena. Tangu wakati huo, nimefanya ahadi kwamba mtu yeyote ninayejua kuwa na tatizo la uhusiano, napenda kumsaidia mtu huyo kwa kumtaja kipaji cha pekee halisi na cha nguvu ambacho alinisaidia kwa tatizo langu. email: dr.zulugreattemple@gmail.com
     unaweza kumtuma barua pepe ikiwa unahitaji msaada wake katika uhusiano wako au Uchunguzi mwingine wowote.
    1) Upendo Unaelezea
    2) Upendo uliopotea unaelezea
    3) Talaka inaelezea
    4) Inaelezea ndoa
    5) Kuzuia Spell.
    6) Maelekezo ya kupasuka
    7) Piga Mpenzi wa zamani
    8.) Unataka kupandishwa kwenye ofisi yako
    9) wanataka kukidhi mpenzi wako
    10) Tiba ya ugonjwa wowote unaoambukizwa
    11) unataka pesa
    12) unataka biashara yako kukua kwa kasi
    13) unataka mtoto wako mwenyewe
                Usichukue moyo wako wasiwasi hadi mwaka mpya wakati kuna suluhisho kwa hilo.Kuunganisha mtu huyu mzuri ikiwa una shida yoyote na suluhisho la kudumu
    kupitia dr.zulugreattemple@gmail.com au whatsapp yake kwenye +2349075609697
    Asante mimi marehemu

    ReplyDelete
  22. Do you need a loan? If yes! Contact FIFO Capitals and Mortgages Limited ® for small and large loans amount. We give out loan at 2% interest rate. Contact us today via E-mail at,,,((FIFOCapitals@gmail.com)),,, We also give out from. £5 thousand Pounds to 100 million Pounds for individuals and companies, the credit is open to all regardless of nationality....

    ReplyDelete
  23. Hi mimi ni WILLIAMS SARAH
    Je! Ungetesha mkopaji / mkopo? Je! Unahitaji mkopo? Je! Unahitaji msaada wa kifedha wa haraka? Unahitaji mikopo ya papo hapo ili kulipa madeni yako, au unahitaji fedha ili kuboresha biashara yako? Tunatoa kila aina ya mikopo na viwango vya riba 2% kwa watu binafsi na kampuni yenye masharti na masharti ya wazi. Ikiwa unatoa mikopo yoyote kwa marudio yoyote, tafadhali wasiliana na sisi leo ili kupata mikopo yako leo. Tutumie barua pepe: (williamssarahloanfirm@gmail.com)

    ReplyDelete
  24. Hello !

    Do you need a legitimate and fast loan service?

    Apply Now and get your cash urgently!
    * Borrow between $5,000 to $50,000,000
    * Choose between 1 to 30 years to repay.
    * Flexible loan terms and conditions.
    All these plans and more,contact us now.

    contact us via email: gerred.breinloanlenderr@gmail.com

    Regards
    Management.
    Contact Your Speedy Loan Now!!

    ReplyDelete