WACHEZAJI WA APR WAKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NIYERERE (JNIA) JIJINI DAR ES SALAAM, LEO. |
Kikosi
kamili cha APR kimetua jijini Dar es Salaam, tayari kwa mechi yao ya
Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Licha
ya APR kupoteza mechi yao ya kwanza kwa kufungwa mabao 2-1 na Yanga
nyumbani kwao Kigali, leo walionekana ni watulivu na wanaojiamini.
APR wanahitaji ushindi wa mabao 2-0 ili waweze kusonga mbele. Jambo ambalo Yanga hata kidogo hawapaswi kulibeza.
0 comments:
Post a Comment