mmoja wa vijana waliokuwa wakilalamikia vikali zoezi hilo la uchaguzi
akiongea na waandishi wa habari kuelezea masikitiko yake kuhusiana na
hali hiyo ya upendeleo katika uchaguzi huo uliovunjika.

Akikongwa ili asidhuriwe kijana ambae jina lake halikufahamika mara
moja akizuiwa na mwenzie ili asiendelee kurushiwa viti alivyokuwa
anarushiwa na vijana wenzake kutokana na kutofautiana nao katika masuala
ya uchaguzi huo.

Mmoja wa vijana aliekuwa akilalamikia zoezihilo la uchaguzi kugubikwa
na dalili za rushwa hivyo wao kuamua zoezi hilo lisitishwe japo
hawakusikilizwa nakuanza kututpiana viti.
0 comments:
Post a Comment