Tuesday, July 3, 2012

Mtoto Safina Mkwama amechapwa viboko na baba yake wa kambo kwa kutumia mwanzi hadi mtoto akazirai. Kosa la mtoto lilitajwa kuwa ni kupoteza shilingi 800/= alizotumwa kuuza mahindi.
Picture
Safina Mkwama ananasema anajuta kufariki kwa baba yake, kwani baba wa kambo anayeishi kwenye nyumba waliyoachiwa na baba yao mzazi, anawatesa sana.
Picture
Mama mzazi wa Safina Mkwama akimpa mwanaye zoezi la kusimama kwa kuwa hivi sasa ni siku nne hawezi
Picture
majeraha yaliyotokana na kuchunwa na fimbo
Picture
Bathal Shawa mzazi anayetuhumiwa na Jeshi la Police kumpiga mtoto wake wa kambo hadi kupoteza fahamu

0 comments:

Post a Comment