Tuesday, July 3, 2012

Baada ya kuona ni jinsi gani na vitu gani unaweza kutu =mia wewe mwenye ngozi kavu sasa tuangalie pia ni kwa wale wenye ngozi za mafuta ni vitu gani vinavyohitajika katika kuandaa mask hii ya keroti na asali.


  • 2-3 carrots
  • Vijiko vinne na 1/2 vya chakula vya asali

Pika keroti zako halafu ziponde. Changanya keroti na asali halafu mchanganyiko huu uweke kwenye friji kwa muda wa dakika 10.
 
Kisha upake mchanganyiko huu kwenye uso wako vizuri na kaa nao kwa muda wa dakika 10 kisha ondoa mask hii kwa kuosha kwa maji ya uvuguvugu.

Karoti ni anajulikana kwa kuwa na vitamini A na C pia keroti ina potasiamu na asali huwa ina sukari, Enzymes, madini, vitamini na amino asidi .Tumia mask hii sio zaidi ya mara 2 kwa wiki.

0 comments:

Post a Comment