Monday, November 25, 2013


2
Ukiachia mbali camera nyingine, camera za video peke yake za waandishi wa habari kwenye mkutano wa Zitto Kabwe na Waandishi wa habari zilikua zaidi ya 20.
3
1
Baba na mama Zitto.
4
Kwenye hii picha wanaonekana Wasanii Baba Levo, Afande Sele na Peter Msechu wakifatilia wakati Zitto Kabwe anaongea.
5
7
Peter Msechu, Mwasiti, Makomando, Baba Levo na Queen Darling wakiwa nje ya jengo alikofanyia mkutano Zitto Kabwe.
6

0 comments:

Post a Comment