Saturday, August 17, 2013

Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu. 

Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.


Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2cCOtiYPI

0 comments:

Post a Comment