Monday, August 19, 2013

Somo: biology
ref: SIKU YA KUSHIKA MIMBA
Kwa mwanamke mwenye
mzunguko wa kawaida wa siku
28. Yai la mwanamke hupevuka...
(ovulation) siku ya 14 baada ya
bleed na likikutana mbegu ya
kiume siku hiyo hutunga mimba
(nyege huwa kali na uteute kuwa
mzito unaovutika).Pia
kunauwezekano pia wa kushika
mimba siku 3 kabla ya yai
kupevuka au siku 3 baada ya yai
kupevuka, yaani kuanzia siku ya
11 mpaka siku ya 17 baada ya
bleed. Kwakuwa mbegu za kiume
huwa hai ndani ya uke kwa siku 3
tu (masaa 72) kabla ya kufa na Yai
lamwanamke hukaa siku 3 tu
(72hours) likisubiri mbegu za
kiume kutunga mimba kabla ya
kufa. Uki sex siku ya 11 mbegu
zitakuwa bado active kwenye uke
kwa siku 3 na kulikuta yai siku ya
14 ya kupevuka kwake hapo
mimba hutungwa.Na iwapo pia
ukisex siku ya 17 ambapo ndio
siku ya mwisho ya uhai wa yai
kusubiri mbegu za kiume hapo
mimba hutunga.
Kwa wale wenye siku
zinazobadilikab adilika (22, 24,
26, 30) kutokana na stress,
vyakula,madawa, maradhi au
mshituko ili kutafuta mtoto
mnashauriwa kusex siku 7 kabla
ya yai kupevuka, siku ya yai
kupevuka, hadi siku 7 baada ya
kupevuka. ila kwa uhakika wa
kutopata mimba ni kusex kuanzia
siku ya 17 hadi siku moja kabla ya
bleed.

1 comments:

  1. mimi nilifundishwa yai hukaa kwa saa36,ila mbegu ndo hukaa kwa saa72.

    ReplyDelete