Tuesday, August 20, 2013

 
Mdau wa wavuti.com ameipenda video hii iliyokwisha kutizamwa zaidi ya mara milioni moja, akataka nasi tuburudike na watoto hawa wakicharaza gitaa kwa mbwembwe!
 
 
Maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na CHADEMA jijini Mwanza kwa nia ya kushinikiza kung’olewa kwa meya wa manispaa hiyo, Henry Matata, anayedaiwa kuchaguliwa kinyume cha sheria yalianza vyema lakini mwisho wake ukawa wa fujo na vurugu.

Habari kwa kina (katika picha na maandishi) na taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku, vimepachikwa hapo chini baada ya picha. 

 
 
Naitwa, Mama Jessica, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, mkaazi wa Tabata, Dar es salaam.

Baada ya kuumizwa sana na wanaume katika mapenzi, niliamua kutafuta mganga wa kienyeji, shoga yangu alinipeleka kwa Mganga mmoja anayeitwa MUNGU WA...,  ambaye ni Mtaalamu aliyebobea sana katika masuala ya UCHAWI NA UGANGA.

Wakati naenda kumuona huyu mganga, tayari nilikuwa nimeanza uhusiano na mwanaume mmoja lakini na yeye akawa haeleweki-eleweki. MUNGU WA... , alinipa dawa ya mapenzi ambayo imenifanya nijutie kuitumia, kwani baada ya kumfanyia dawa mwanaume huyo, AMENIPENDA KUPITA KIASI! YAANI AMEKUWA KAMA ZEZETA KABISA! Alikuwa na mke wa ndoa na watoto watatu, ila amewatelekeza wote na kuja kuishi na mimi. Nyumba aliyojenga na mke wake ameiuza na kuninunulia mimi nyumba nyingine ili tuishi pamoja, kama hiyo haitoshi alikuwa na magari mawili moja amempa mdogo wangu wa kiume, jingine ameliuza na kunifungulia duka la nguo Kinondoni.

Ni mambo mengi sana, yote siwezi kuelezea, ila kibaya zaidi ni kwamba, sasa ameshindwa kuendelea na

 
 
 
 

0 comments:

Post a Comment