Saturday, January 19, 2013

Kama ulisikiliza kipindi cha Amka na PRIDE FM cha asubuhi ya Ijumaa, “audio PRIDE fm: Ajuza agoma gesi kwenda Dar; Shura ya Maimamu kutoa tamko”, mojawapo ya kauli zilizotolewa ilikuwa ni ya wito wa kuwataka Waislam na wananchi wote kushiriki mkutano ambao Shura ya Maimamu wa Mtwara na Lindi wangetoa tamko kuhusiana na mpango wa Serikali wa gesi.

Zifuatazo ni picha za umati ulioitika wito na kuhudhuria mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Mashujaa mara baada ya swala ya Ijumaa.

Uhamashaji na uelimishaji mkubwa kwa kila rika unafanyika. Mojawapo ya nyaraka zinazotumika ni hii ya Wentworth Resources Limited - Exploration & Gas Monetisation in East Africa (pdf).
Picture
(Picha zote via JamiiForums.com)

0 comments:

Post a Comment