Saturday, January 19, 2013

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameshitukia hujuma nzito katika bandari ya Dar es Salaam, ikihusisha kuchomolewa kwa kipengele katika mkataba wa ujenzi wa boya la kupakulia mafuta kilichokuwa kinamtaka mzabuni kuacha vipuri vya zaidi ya dola za Marekani milioni tatu (Sh bilioni 4.8) mara baada ya kukamilika kwa mradi.

Hata hivyo, kukosekana kwa kipengele hicho sasa kutailazimu Serikali kuingia gharama hizo, badala ya kampuni ya 

0 comments:

Post a Comment