Sunday, December 2, 2012

Watu  wanaosadikiwa kuiba  vitu vya  Marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’  aliyefariki kwa ajari ya gari katika  kijiji cha songa kibaoni wilayani muheza, wamesalimisha  baadahi ya vitu hivyo kwa  mwenyekiti wa kijiji hicho huku wao wakiendelea  kuishi mafichoni kuogopa  kutiwa mbaroni
Hatua ya watu hao kusalimisha vitu hivyo imekuja kufuatia hatua ya mkuu wa  wilaya hiyo Subira Mgalu ambaye pia  ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama  kuwatangazia kwamba  wote walifanya jamabo hilo watasakwa na  kuchukuliwa hatua za kisheria.

Baadhi ya vitu vilivyoibwa kutoka kwenye gari la  Marehemu  Sharo  Milionea  vikiwa  katika  ofisi ya mwenyekiti wa  kijiji hicho

0 comments:

Post a Comment