Ndugu wasomaji wa gazeti tando la BAHARI YA MAARIFA, nawatakia heri ya mwaka mpya 2013. Pia niwaombe radhi kwa niaba ya timu nzima ya uongozi wa BAHARI YA MAARIFA kwa kukosekana kwa habari mpya siku kadhaa. Tatizo lilikuwa nje ya uwezo wetu. Sasa tuangalie yajayo.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.