Sunday, November 11, 2012

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya leo katika ukumbi wa NEC-Dodoma.

Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.

Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia mkutano mkuu wa CCM .

Mh.Muhammed Seif Khatib na Mh. Vuai Ali Vuai ,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wakipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo.
Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipiga gitaa la rhythm na kuimba wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Chipukizi ,tayari kufungua kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na chipukizi alipowasili Makao Makuu ya Chama leo Dodoma.

Pandu Ameir Kificho spika wa Baraza la Wawakilishi akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Anne Makinda, kushoto ni Kapteni John Chiligati.

Rais wa Jamhuri wa Muungano na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha kamati kuu

0 comments:

Post a Comment