Tuesday, November 13, 2012

Msanii wa Filamu na Maigizo ambaye anatamba kwa lafudhi yake ya Kikenya na siku hizi akiwa anatamba katika uimbaji, bi. Ummy Wenselaus al maarufu Dokii akiwa na kundi lake  la burudani mjini Dodoma katika Mkutano Mkuuu wa Nane wa CCM kwa ajili ya kutoa burudani, amenaswa na kamera ya Father Kidevu (mrokim.blogspot.com) katika picha zifuatazo ambazo amesema, “VINAGHARAMIWA NDIYO MAANA VINAPENDEZA”.

Haya mtembeleaji na msomaji wa wavuti.com, kuna la kujifunza, noa bongo lako, kazi ni kwako!


0 comments:

Post a Comment