Thursday, November 8, 2012

 
Picture
Mfanyakazi wa Vodacom Irene Salim(kushoto) akitoa maelezo ya simu za mkononi kwa washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Picture
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana,wakiangalia vipeperushi kwenye banda la Vodacom Tanzania.
Picture
Afisa Biashara wa Vodacom Tanzania Ezekiel Nungwi,akitoa maelezo ya huduma za fedha kupitia mtandao huo wakati wa mkutano wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi (Mobile Money Summit) ulioanza jijini Dar es Salaam jana.

0 comments:

Post a Comment