Wednesday, November 14, 2012

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Dodoma, Sekretarieti ya Uongozi wa CCM Taifa ni kama ifuatavyo:

- Katibu Mkuu ni Abdulrahman Kinana.


- Naibu Katibu Mkuu  Tanzania Bara ni Mwigulu Nchemba (Mb).

- Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ni Vuai Alli Vuai.

- Katibu  wa Itikadi na Uenezi  ni Nape Nnauye.

- Uchumi na Fedha ni bi.  Zakhia H. Meghji.

- Katibu wa Oganaizesheni ni Mohammed Seif Khatib.

- Uhusiano wa Kimataifa ni Dkt. Asha-Rose Migiro.


14 Nov 2012

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.