Sunday, October 21, 2012

Hilo ni agizo la Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emanuel Nchimbi, akisitisha mihadhara yote ya nje kwa nchi nzima hadi hapo watakapoweka njia bora wa jinsi ya kuendesha mihadhara hiyo, utaratibu wake na nani anayeifuatilia kuona inaendeshwa kwa misingi ya sheria na taratibu, inafikiwa.

Pia, ameuonya dhidi ya kushabikia mpasuko wa kidini. Ameasa mengi na kutoa maelekezo mengine kuhusiana na hali ya vurugu zenye kivuli cha dini.

0 comments:

Post a Comment