Tuesday, October 30, 2012

Wadau wa ML8.
Kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota cha Thai Village- Masaki jijini Dar es Salaam.
Wema Sepetu na marafiki zake.
Yohana na Bishosti wake.
Benjamin na washikaji.
Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Mary Lukas wakishambulia Jukwaa.
Blogger Cathbert Angelo wa KajunaSon blog na Haki Ngowi.
Mary Lukas akicheza na Shabiki wa SKYLIGHT Band.
Warembo hawa nao walikuwepo.
Hapo sasa twende kazi mpaka chini hiyo.
Sam wa SKYLIGHT BAND na Mashabiki wake akiwemo Msanii wa Bongo Flava Amini (kulia).
Mdau Haled na mabeste zake baada ya kitu cha pilau mchana walitimba Thai Village kuburudika na SKYLIGHT BAND.
Mashabiki wapya na wadau wa SKYLIGHT BAND.
Wadau Haled na Adrian.
Dancing Floor ilipendeza na watu waliserebuka vilivyo.

0 comments:

Post a Comment