Monday, October 22, 2012





Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba na Katibu Mkuu Amina Makilagi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).




Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT.

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere.

Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia.

0 comments:

Post a Comment