Saturday, September 1, 2012

Picture
Rais Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo ikulu ya Addis Ababa jana, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa Ethiopia marehemu, Meles Zenawi anazikwa leo. Wengine katika picha ni baadhi ya wajumbe waliofuatana na Rais Kikwete watakoshiriki mazishi ya kiongozi huyo. Kutoka kushoto ni, Livingstone Lusinde, Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Jenerali Mirisho Sarakikya, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Boswaro, Zitto Kabwe na Waziri wa Kazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haroun Ali Suleiman. (Picha na Freddy Maro)
Picture
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima zake mwisho kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi katika ikulu ya Addis Ababa leo jioni (Picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment