Monday, September 10, 2012


                                                    Redd's Miss Kinondoni 2012
Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akiwatambulisha Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye (kati) pamoja na Sebo ambaye ni mmoja kati ya mwanabodi wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakati wa Uzinduzi wa kambi ambayo ipo hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akizindua kambi ya Redd's Miss Kinondoni 2012 pembeni ni Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa na nyuma ni warembo walio katika kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni 2012.
Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa akiongea machache.
Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo.
Washiriki wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja.
Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene.
...Aha ilikuwa ni raha sana.
Mauno sasa.

0 comments:

Post a Comment