Sunday, July 1, 2012

Wasomali walio fariki hivi karibuni zinazikwa sasa Morogoro

Miili ya Wasomali hao ikiwa inashushwa jwa ajili ya kuzika


Shughuli za Mazishi zimeanzaHaya ndiyo makaburi yanapo zikwa

Miili 22 ya Wasomali waliokuwa wakati wakisafiri kutoka nchini Ethiopia kwenda nchi za Malawi na Afrika kusini kwa lengo la kusaka maisha bora wamezikwa kuzikwa kwenye makaburi ya kola mkoani Morogoro.

Miili mingine 22 imezikwa mkoani Dodoma.

0 comments:

Post a Comment