Saturday, June 23, 2012


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23,2012.
 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makazi, Ngazi ya Taifa  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mafunzo hayo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na Waziri wa Fedha, Dktwilliam Mgimwa baada ya kufungua  Mafunzo wa Wakufunzi wa  wa Sensa ya Watu  na Makazi ya Mwaka  2012 Ngazi ya Taifa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Mjini Dodoma Juni 23, 2012. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wazara ya Fedha, Servacius Likwelile na Wapili kushoto ni Kamishina wa Sensa, hajat Amina Mrisho  Said

0 comments:

Post a Comment