Friday, June 15, 2012


Afisa wa Idara ya utoaji wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama kanda ya Mashariki, Judith Goshashi akimtoa damu mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Kondoa, Levina Peter wakati wa maadhimisho ya siku ya mchangiaji damu yaliyofanyika kikanda wilayani hapa juzi.
Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama kanda ya Mashariki, Grace Mlingi akitoa taarifa kwa wakazi wa wilaya ya Kondoa juu ya uchangiaji damu wakati wa maadhimisho ya siku ya mchangiaji damu yaliyofanyika kikanda wilayani hapa juzi.
(Picha na Masoud Masasi wa Dodoma yetu Blog)

0 comments:

Post a Comment