Thursday, June 28, 2012


Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani, lakini Juma Kibla Nature ame-prove it wrong. Mzaliwa wa TMK kulekule kwetu uswazi kwa watoto wa kitaa wakichana longtime kitambo na crew yao Gansters With Matatizo (GWM) na wanyama kama Mulla na wengine.
Story ni kwamba Juma Kassim Nature amehama
 maeneo aliyokua anaishi long time na kuhamia Kibaha. The source inasema kwamba Nature time hii hayupo tena jijini, huwa anakuja kwa ishu zake za kimkwanja na music. Lakini maskani yake right about now yapo Kibaha.

0 comments:

Post a Comment