Saturday, May 26, 2012

Mtangazaji wa Program ya Bongo Beats inayoruka hewani kupitia Runinga ya Star,Sauda Mwilima amepata mrithi wa kipindi hicho ambaye ni mtangazaji anayekuja juu kwa kasi ya moto wa kifuu anayekwenda kwa jina la Rachel Nduka.

Chanzo Kimeeleza kuwa Rachel Ndauka ambaye ni mdogo wake Rose Ndauka amekabidhiwa Mikoba hiyo kwa kipindi chote ambacho Sauda atakuwa katika likizo ya Uzazi.
Haya ni maneno ya Rachel Ndauka.Nimejipanga vilivyo naahidi sitamuangusha Sauda,'ALISEMA Rachel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Ndauka Promotion.

0 comments:

Post a Comment