Thursday, April 26, 2012

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa  Mulongo (kushoto) akiongea muda mfupi baada ya kuangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na  kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa  Arusha, Thobias Andengenye akiwa na maofisa usalama katika eneo la  kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru jana
 Maiti wakiwa wamelundikwa kwenye gari la polisi baada ya kugundulika wametupwa maeneo mbalimbali wilayani Arumeru jana.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa  Mulongo (kushoto) akiangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na  kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa  Arusha, Thobias Andengenye akiwa na maofisa usalama katika eneo la  kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru jana


1 comments:

  1. Hivi Polisi wa kitanzania wanajua kweli kazi yao???
    Hao marehemu ndio wanatupwa tu kwenye gari, tena gari yenyewe Pick up land rover.Manispaa ya arusha hakuna gari maalumu kwa ajili ya kubeba marehemu kwa matukio kama haya.
    kwa style hii heshima ya BINADAMU iko wapi?? polisi wanashindwa kulinda UTU wa binadamu na kutupia tu maiti kwenye mmapick up yao hivi?"?

    ReplyDelete