Wednesday, April 25, 2012


Hizi ni sababu tosha za vijana kujitosa!
Angali utabiri huu.
Makadirio Mepesi ya bei za vitu 2015
 

1. MWAKA 2005 sukari 600/=, Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=

2. MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=, Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000

3. MWAKA 2005 Mchele 600/=, Mwaka 2010 ni 1500, hivyo 2015 itakuwa 4400

4. MWAKA 2005 Kodi vyumba (2) 40,000/=, Mwaka 2010 ni 100,000, hivyo 2015 itakuwa 180,000/=

5. MWAKA 2005 Umeme (unit 110 ) 9,000/= ,Mwaka 2010 ni 24,000, hivyo 2015 itakuwa 60,000/=

Hii inamaanisha gharama za maisha ndani ya MIAKA kumi zitapanda MARA 7 ambayo ni sawa na asilimia 700.

-Huu ni upande wa Gharama za maisha


0 comments:

Post a Comment