Sunday, March 30, 2014

Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio.

Upatapo nafasi tafadhali isikilize kupitia www.vijimamboradio.com kisha utoe maoni yako.

Tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha radio hii.

Ikiwa maoni au ushauri unaweza toa maoni yako kwenye tovuti au tuandikie barua pepe djlukejoe@gmail.com au vijimamboblog@gmail.com

Asante na Endelea kuburudika na VIJIMMBO RADIO!

0 comments:

Post a Comment