Padri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar na kusababishiwa maumivu makali sana. Habari zaidi zitawajia baadaye. 14 Sep 2013
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.