Jengo lashika moto na kuungua Dar Jengo moja limeshika moto na kuungua (kama inavyoonekana pichani) asubuhi hii mwendo wa saa mbili u nusu, katikati yabjiji la Dar es Salaam, kwenye barabara ya Mororogo, punde tu baada ya Kisutu.Shukurani ya picha na taarifa: Dk Chaote P. 29 Mar 2013
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.