Friday, November 2, 2012

Zifuatazo ni picha kutoka IKULU za Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha siku ya Alhamisi, Novemba Mosi, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki katika hafla hiyo iliyoambatana na hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo.

Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
 
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mash. Joshua Nassari katika hafla hiyo
Rais Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe John Mongella kuzindua ujenzi wa barabara za jiji la Arusha

0 comments:

Post a Comment