Friday, November 9, 2012

Wadau kwa mara nyingine tena Benki ya Wanawake (TWB) inawatangazia nafasi za kazi. Nafasi hizo zapatikana katika link hii hapa:http://www.womensbank.co.tz/view.php?id=12

Waweza pia kuzisoma kwa ufupi katika gazeti la Daily News la tarehe 6 Novemba.


Waweza tuma kwa Posta ila pia waweza kupeleka pale mapokezi kwao. Strictly kazi hizi ni kwa watu walio experienced. usitoe rushwa wala kuloby kwa kazi hizi. Benki hii ni ya wanyonge na kazi zaenda kwa haki kabisa. If you are qualified be sure utaitwa kwenye interview.

0 comments:

Post a Comment