Sunday, November 4, 2012

Mgeni rasmi, Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania, SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti
Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, (L to R) ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke, M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu.
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama Nyalile akiwaasa bodaboda, (L to R) kamanda Mpinga, M/kiti wa wa bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu
Onyesho la Mishikaki ambapo waendesha piki piki hap wameapa kutopakia abiria zaidi ya mmoja.
Wahitimu hao wakiserebuka kidogo
Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo.
Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha zote kwa hisani ya SACP Mpinga - CO Traffic
Picha na maelezo: Ahmad Michuzi @michuzijr.blogspot.com 

0 comments:

Post a Comment