Tuesday, November 13, 2012

BASI AINA YA TOYOTA HIACY  YENYE NAMBA ZA USAJIRI T245 AMH ILIYOGANWGA NA ROLI LA MIZIGO
HILI NDILO ROLI LILILOSABABISHA AJALI NA KUUA ABIRIA SITA
BAADHI YA MAITI ZIKIWA ZIMEPAKIWA KATIKA GARI YA POLISI
BAADHI YA MAJERUHI WAKIFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
TAARIFA KAMILI YA AJALI HII TUTAWALETE MARA TU TUKIIPATA SAMAHANI SANA KWA PICHA AMBAZO TUMEWAONYESHA PICHA KWA HISANI YA CHALES MWAIPOPO

0 comments:

Post a Comment