Monday, October 1, 2012

Picture
Wakazi wa mtaa wa Mto, Manispaa ya Morogoro wakimzuia Aziz Salh ambaye ni mmiliki wa nyumba iliyoungua jana mjini humo, alipotaka kuingia ndani ili kuokoa mali zake wakati moto ukiendelea jana machana. Picha na Juma Mtanda/Gazeti la Mwananchi)
Picture
Nyumba ya mkazi wa Manispaa ya Morogoro ilipokuwa ikiungua huku wakazi wakiangalia. (Picha na Juma Mtanda/Gazeti la Mwananchi)

S

0 comments:

Post a Comment