Sunday, October 21, 2012


UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana mshamba wa mji.....

Msanii wa tasnia hiyo, Mainda, ametoa ushahidi wake kuwa aliwahi kumshudia mmoja wa mastaa wa tasnia hiyo akitoa mimba tena nyumbani kwake.......

Msanii huyo ameieleza Gumzo
kuwa wapo wasanii wengi wa tasnia hiyo ambao wanapata mimba lakini  walio wengi wanazitoa.

0 comments:

Post a Comment