Saturday, September 15, 2012

Hii ni Kali kuliko!! Dunia yashuhudia maafa.
 Waandamanaji jijini Cairo Misri leo wakipambana na polisi kwenye eneo la karibu na viwanja vya Tahariri Squire mara baada ya swala ya Ijumaa leo mchana, Waisilamu duniani kote wamejawa na hasira mara baada ya kuzinduliwa filamu ya kukashifu Uisilamu na Mtume Mohamada (SAW).
 Waandamanaji wa Kiisilamu wenye hasira wa nchini yemen wakivunja ubalozi wa Marekani leo mchana mara baada ya sala ya Ijumaa, Waisilamu duniani kote wamejawa na hasira mara baada ya kutolewa filamu na raia wa marekani mwenye asili ya Israel inayokashifu Uisilamu na Mtume Mohamad (SAW).
 Kaaaaazi kweli kweli.
 Waisilamu wa Gaza nao waliungana na waisilamu wenzao duniani kote kwenye maandamano leo baada ya sala ya Ijumaa.
WAZEE WA KASHMIR
Police clash with Kashmiri lawyers during a demonstration against the controversial film "Innocence of Muslims" in Srinagar on September 14, 2012. (AFP PHOTO)
Waisilamu wa nchini Kuwaiti nao wameandamana leo mara baada ya sala ya Ijumaa.

0 comments:

Post a Comment