Saturday, September 29, 2012

PictureAliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na Mawakili, Alute Mughway (kushoto) aliyesimamia kesi iliyomvua Ubunge na Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni wakili katika kesi ya kupinga kuvuliwa Ubunge wake, Tundu Lissu, katika msiba wao baba yao Alute na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar es salaam na kisha kuzikwa nyumbani kwao Singida. (picha: MjengwaBlog.com)
29 Sep 2012

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.