Saturday, September 29, 2012

"Karibuni watanzania nyote mjionee Sarakasi na Utamaduni wa Kitanzania".
Trade Marketing Supervisor wa kampuni ya simu za mkononi ya TIGO ambao ndio wadhamini wakuu wa maonyesho ya 'Sarakasi ya Mama Afrika' yanayoendelea katika viwanja vya New World Cinema Bw. Gaudens Mushi akiwakaribisha wageni waliohudhudhuria onyesho hilo. kushoto ni Afisa Mahusiano wa TIGO.
Baadhi ya wadau walioshiriki maonyesho hayo wakifurahia. 

0 comments:

Post a Comment