| Mchuma mpya aliopewa Ngassa baada ya kusajiliwa na Simba |
| Mrisho Ngassa akiingia mazoezini |
| Mashabiki wa Simba wakiwa wanampokea mchezaji wao mpya Mrisho Ngassa |
| Ngassa ndani uzi mwekundu akiwa na Uhuru Suleiman |
| Ngassa akipambana na Amri Kiemba |
| Na jezi yake ile ile namba 16 |
| Wanasimba wakiwa juu ya mawe ya ufukwe wa COCO wakiwaangalia wachezaji wao wakifanya mazoezi |
| Hapa Ngassa akiwa amezingirwa na mashabiki wa Simba baada ya kufika makao makuu ya klabu hiyo kutambulishwa |
| Mrisho Ngassa akiwa na uzi wake mpya baada ya kutambulishwa makao makuu ya Simba |
| Ujumbe kwa uongozi wa Yanga |
Picha via ShaffihDauda.com,















0 comments:
Post a Comment