Tuesday, August 28, 2012Hivi  jamani  aliyesema  kuoa  ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka  kuwa  aliyeanzisha   suala la  kuoana  hakuwa  mjinga........

Imekuwa   ni jambo la  kawaida kwa  wasani maarufu  kuwadanganya   watoto wadogo kupitia umaarufu wao na  hatimaye  kuwatumia  kimapenzi  kwa manufaa yao  binafsi........

Alianza kanumba  na  Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na  Kanumba zilikuwa   AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba  amchukua  yule binti na  wenzake kwa  lengo la  kumsaidia na  kuimarisha  kipaji chake...

Matokeo yake  akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia  ndoto zake za maisha, na  hatimaye  leo hii  ananyea  ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.

Leo  hii  tunaona RAY naye bado anaendekeza  uchafu  ule  ule.....

NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA  HIVYO KWA  SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA  NI FUNDISHO TOSHA  KWA  WASANII WA  HAPA  NCHINI

0 comments:

Post a Comment