Wednesday, June 27, 2012

Pole sana mwanawane Ulimboka.
Dk Ulimboka aokotwa porini akiwa taaban
Dk Ulimboka.Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.

             Baada ya kujeruhiwa

Akiingizwa hospitali.

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, wakimwingiza kwenye gari la wagonjwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Steven Ulimboka, kumpeleka kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) baada ya kufikishwa hospitali leo.


MANENO MENGI SANA YANASAMBAZWA JUU YA KUJERUIWA KWA DK ULIMBOKA,NILIKUWAPO WAKATI ALIKUWA NDANI YA GARI NA MUANDISHI WA CLOUDS TV anamuhoji.
..yatosha sasa maneno aliyoyasema mwenyewe ambayo tbc watayarudia saa 4 usiku kwenye usiku ya habar yawe mwanzo wakutupelekea kuwajua watuhumiwa,sasa kulaumiana si sawa...MSIKILIZE DK KWA MANENO YAKE
alisema dk ulimboka
"...huyu bwana amekuwa akinitafuta siku ya tatu sasa,nimekuwa nikishindwa kuonana nae kwakuwa natoka late sana,,sasa jana nikamwambia dk mwenzangu ebu twende sterio tunaonane nae wakati nipo nazungumza nae ,,,mara wakatokea watu wakiwa na bunduki,,wakanivuta na kunitupia kwenye lami nakuanza kunishambulia ........"

0 comments:

Post a Comment