Friday, May 11, 2012

Serikali ya Tanzania imetishia kuishtaki kampuni ya Hagal- dong ya Korea Kusini kwa kuisababishia hasara ya milioni ya pesa.
Kampuni hiyo iliiuzia Tanzania vifaa vya kupima virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi vilivyo na kasoro.
Nchi hiyo sasa imesitisha mara moja uagizaji na usambazaji wa vifaa hivyo aina ya SD Bioline baada ya kupata taarifa kutoka shirika la Afya duniani WHO kuwa baadhi ya vifaa hivyo vina kasoro.
Tanzania ni nchi ya hivi punde kuchukua hatua hiyo ambayo ilichukuliwa 
 
CHANZO CHA HABARI BBC SWAHILI

0 comments:

Post a Comment