KWAHERI
PATRICE MUTESA MAFISANGO, MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALA PEMA PEPONI,
SIMBA FANS R REALLY GONNA MISS U BRO! TULIKUPENDA SANAA MUNGU AMEKUITA
GHAFLA JEMBE LETU, REST IN PEACE PATRICE MAFISANGO.

KIUNGO
MAHIRI WA SIMBA.PATRICK MOTESA MAFISANGO. AMEFARIKI DUNIA KWA AJALI YA
GARI ILIYOTOKEA HAPO TAZARA WAKATI AKIMKWEPA MUENDESHA PIKIPIKI.
MUNGU AKULAZE PEPONI PEMA.
Pole
Mh. Aden Rage, Geofrey Nyange na viongozi na wachezaji wote wa Simba
Sports Club, wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Rwanda. pole members
wenzangu wa Simba Damu Fans. na wapenzi na mashabiki wa Simba Sports
Club. RIP PATRICE MUTESA MAFISANGO.
0 comments:
Post a Comment