Friday, March 22, 2013

Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.

Jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunge ili kubaini ugonjwa unaomsumbua. 
Picture
Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma leo wamemjulia hali Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru. Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge, Kinjekitile. (Picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment