Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wateule wa JK kuanza na mbwembwe nyingi
na kauli za kuonyesha kufanya kazi na kulijua tatizo, la kushangaza
huishia kwenye matamko na mbwewe. Waziri wa ardhi Prf Anna Tibaijuka
alikuja na mbwembwe nyingi sana leo kama hayupo vile.
Leo hii Prof wa Nishati na madini anakuja na mbwewe huku akisema madudu aliyoyakuta hawezi kuyaweka hadharani, ila baada ya hapo tutasikia ufisadi na uzembe chini yake.
Kagasheki naye kaja na kelele kibao utazani kesho wahalifu na wezi watafikishwa kisutu kumbe wanajitafutia upenyo wa kujichotea.
Kauli za JK za bandari kwamba anawajua wezi bila kuchukuliwa hatua ndizo kauli wanazotumia wasaidizi wake.
Tumechoka na maneno tumechoka na mbwembwe tunataka mfanye kazi hatutaki kauli wala matamko tunataka matendo yataongea ye

0 comments:
Post a Comment