nimebahatika "kupata" mahala ka-Mtaji. Ni kiasi cha shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)
MAPENDEKEZO
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)
MAPENDEKEZO
Kwa ufupi nimekuwa ktk sector hii ya miti kwa muda mrefu sana. Naomba mchague wenyewe eneo mnalotaka nishushe data kati zifuatazo;
1; Ardhi ya bei poa iko wapi? na taabu za huko
2; mbegu zinapatikana wapi? na namna ya kuotesha?
3; Aina ya mti(mbegu,growth rate,soko,na sehemu ya kupanda ktk Tz)
4; Msimu mzuri na maandalizi yake.
5; overhead cost baada ya kupanda.
6; Field management.
Leo niwape item ya tatu tu,mimi nimeajiriwa,najaribu kutumia muda wa mwajiri kwa uangalifu.
Kuna miti mingi ila kwa sisi mizuri ni hii; mitiki(10, nje),milingoti boriti(8),milingoti nguzo (10), milingoti mbao (15),mikrismas(cyprus mbao) (25),
pines (12),ktk mabano ni miaka toka kupanda mpaka kuvuna. Soko la mitiki liko nje ya nchi,locally hakuna commercial market mpaka Kilombero wakijenga kiwanda mwakani. Mbegu zinapatikana kwa wakala wa serikali Morogoro,Iringa,Arusha,Tanga etc. Mbegu za mitiki ni ngarambe kuotesha, kilo moja ni Tsh 6000/ na ukifuata utaalam unapata miche 1000 hivi,lakini wajanja wanafanya kienyeji na wanapata zaidi au wanatumia suckers fulani hivi. Bei ya mche kwa sasa ni Tsh 500/ ya chini na 2000/ ya juu pale dar.
Pine/cyprus kilo moja ni Tsh 18,500/ na unapata miche 30,000 mpaka 35,000 inatosha eka hamsini ya miti ya mbao. Mlingoti kilo moja ni Tsh 22,500/ na unapata miche 120,000. Unapanda boriti eka 100 na unapanda miti ya mbao eka 200.
Utamu uko ktk boriti. Eka moja ni boriti 1200,bei ya boriti moja kwa leo hii ni Tsh 15,000/shambani.kwa hiyo eka moja iliyogharimu Tsh 70,000/ kununua ardhi mpaka kupanda itakupa 1200 x 15,000/=( ) toa gharama za fire break mara moja kwa mwaka. Hakuna kupalilia wala kumwagilia.
Mitiki peke yake inakubali pwani,mingine yote ni ktk nchi za baridi. Nimetoa kwa ufupi sana, ila tutaendelea kuelezana kidogo kidogo,

Mradi mwingine mzuri wa bei nafuu ni mradi wa kukamua alizeti. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea Singida. Nikapata muda nikaenda mitaa ya sido. Nilitembelea viwanda vidogo vya kukamulia alizeti. Nikatafiti gharama za mradi wote ule. Kwa mujibu wa Sido,mtambo wenyewe unafikia Tsh 6,000,000/ kwa mwaka jana. Ila mitambo ya mitaani inaweza kuwa chini ya hapo. Gharama za jengo zinategemea sehemu.Ukiweza kufunga kimtambo hicho,mikopo ya upanuzi toka Sido ni mingi bila urasimu.
Wale jamaa wanatengeneza hela sio mchezo. Nimegundua pia kuwa watu wanarudi ktk matumizi ya mafuta ya nafaka sana na ukulima wa alizeti/ufuta unaongezeka sana.
Wale jamaa wanatengeneza hela sio mchezo. Nimegundua pia kuwa watu wanarudi ktk matumizi ya mafuta ya nafaka sana na ukulima wa alizeti/ufuta unaongezeka sana.
Kanunue hisa za crdb ambazo zinauzwa at shs 150 per share. 10 m itakupatia shares 66,666. Hii maana yake nini.
ukinunua shares hizi crdb zikipelekwa kwenye soko la hisa unaweza ukaziuza zote halafu ukavuna zaidi ya asimia 100. Na hii ni baada sana sana ya miezi miwili.
Kwa hiyo ukipata 20m zako iko mbaya gani/ U can decide kuziweka kwenye Fixed deposit ya hao crdb halafu ukaitumia hiyo kuombea mkopo. But this depends very much if u have a steady monthly income.
Huo ni ushauri wangu wa bure

Bandugu,
You will fail 100% kama utatumia approach ya kusikia kwa watu ndio utekeleze.
The best project must come from you and not from other people. Sisi wengine ni kukupatia minofu michache lakini you must have the skeleton.
Ndio hayo tu.

Mie naona Mbu uwekeze kwenye mfumo wa maji safi kule bongo, nenda sehemu ambazo hawana maji ya bomba na ukachimbe visima vya kutumia mota ya umeme ili wapate maji safi badala ya kuchota maji kwenye madimbwi. Hiyo pesa unaweza kuchimba visima 5, hapo utasaidia wananchi wenzako. Unaweza kurudisha pesa yako, iwapo utafanya kila ndoo ya maji ni shs 100.
...malila, nikikurudishia hili swali, Investment ipi ina faida zaidi, ya muda mfupi au muda mrefu? Halafu ukisema Investment ya muda mfupi/mrefu una maanisha nini?
Kwa mfano; Biashara ya mama Ntilie, chapati na maandazo maofisini unaziweka kwenye kundi la short/long term investment? Kuhusu usimamizi na utegemezi inategemeana na ushauri nasaha toka kwenu wajasiriamali wazoefu.

Haya ndugu zangu mnaweza kuongezea mapendekezo yenu kwenye sehemu ya comments
Imeandaliwa na:
AYOUB MANGI,
Mtendaji mkuu,
BAHARI YA MAARIFA
whatsapp: 0755630055
Mtendaji mkuu,
BAHARI YA MAARIFA
whatsapp: 0755630055
Dar Es Salaam ,TANZANIA
ATTENTION ATTENTION ATTENTION
ReplyDeleteMimi ni Mheshimiwa Smith Jones Alpha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni binafsi mkopo, sisi kutoa mkopo kwa kiwango cha chini sana maslahi ya 1.5%. kama una kukataliwa na makampuni mengine mkopo, taasisi za fedha, Benki, kuangalia tena sisi ni hapa kukusaidia kutatua tatizo hilo yako haraka. sisi kutoa kila aina ya mikopo kama vile mikopo elimu, mikopo ya biashara, mkopo nyumbani, Kilimo mkopo, mkopo kibinafsi, Auto mikopo na sababu nyingine nzuri, kama vile ukitaka kuanzisha biashara, kampuni yetu inaweza kusaidia kwa mkopo. Sisi pia kutoa mikopo kutoka 5,000 - 2,000,000,000.Ruble, Dinar, Dola, Euro, na paundi, kwa kiwango cha 1.5%. Muda wa miaka 1- 50 kutegemea na kiasi unahitaji kama mkopo na wakati unahitaji kulipa nyuma. mkopo wetu imara ni kuwa nyuma na kuungwa mkono na Umoja wa Mataifa, kwamba ni kwa nini sisi tu kupata 1.5% kama kiwango cha maslahi yetu si kama taasisi nyingine za fedha kwamba anapata 2%, 3% au hata 5% kutoka clients.Get yao nyuma na sisi kwa habari zaidi kupitia barua pepe yetu: smithjonesloanfirm@gmail.com.
Regards, MR SMITH ALPHA JONES.
Chukua mil2 kachukue viazi mbeya. Gunia moja elf25 kutoka shamba hadi mjini cost inaweza fika elf35. Bei ya rejareja 55 hadi 45 faida inaweza kuwa15 hadi 20 kila gunia piga hesabu umechukua gunia 40×20,000=800,000 hiyo ndo faida ndani ya wiki. Kwa mwezi ukienda Trip 2×800,000=1,600,000
ReplyDeleteNdugu mm nimewahi kufanya biashara nikiwa kijana mdogo Kama miaka kum na nane hivi nilikua nauza mbao na nilipata jina sana ila mtaji wangu ulikua ni mdogo na nilikua nakopa kwa watu waliokua wanaamin kazi yangu ninayo fanya lakin nilikuja nikafilisika mpaka kuishiwa kabisa nakarud tena kukopa bado nikaanguka tena ilikua ni biashara ya mbao japo nilikua na wateja wengi lakin bado nilianguka ikabid niache hiyo biashara nikafanya mishe zingine za kupasua tuu mbao coz na mashine za kuchania ila sasa nata kurud tena tena nikiwa na mtaji usio pungua mil 5 na mashine juu nifanyeje nisi filisike tena Bali nikuze mtaji wangu ufike kununua mbao Kama semi inavyo beba mtaji wa kuanzia ninao na sio mkopo ndug nishaur maana hii kazi naipenda na faida yake naijua maana na miaka tisa saiv
ReplyDeleteNaomba Kama utaona comment yangu basi utanishauri asante
ReplyDelete